Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) wamewataka wananchi kuchukua tahadhari zinazotolewa kwa kuwa ufanisi wa utabiri umeongezeka hadi kufikia 80% kutokana na wataalamu wenye weledi na vifaa vya kisasa wanavyotumia
TMA inaendelea kutahadharisha wananchi kuhusu kimbunga JOBO ambacho wamesema kisipobadilisha uelekeo Aprili 25, 2021 kitapiga Dar es Salaam
Aidha kunatajiwa kuwa na mvua na upepo ukanda wa pwani wa bahari ya Hindi. Maeneo mengine yanayotabiriwa kupata athari za moja kwa moja ni Mtwara, Lindi na Kisiwa cha Unguja