Kwa wiki kama mbili nyuma sasa, TMA walitoa utabiri kuwa kutakuwa na mvua kubwa mikoa ya ukanda wa pwani ya Tanzania. Haikutokea mpaka leo hii hakuna mvua. Jana nikaangalia BBC/CNN weather wakasema coast of Tanzania with a mentin of DSM kutakuwa na mvua. Kweli sasa hivi niadikapo mvua kubwa inanyesha. TMA mama Kijazi mnakosea wap? Kuna siku ulisema utabiri wenu Mwendazake kauboresha kwa kuwanunulia vifaa bora na predictability yenu ni over 96% wakati si kweli! Weledi wenu ukoje?