na wanakula pesa zetu za kodi nyingi sana hawa wanajilipa mipesa alafu kazi yao ni ovyooo...Kwa wiki kama mbili nyuma sasa, TMA walitoa utabiri kuwa kutakuwa na mvua kubwa. Haikutokea mpaka leo hii. Jana nikaangalia BBC/CNN weather wakasema coast of Tanzania with a mentin of DSM kutakuwa na mvua. Kweli sasa hivi niadikapo mvua kubwa inanyesha. TMA mama Kijazi mnakosea wap? Kuna siku ulisema utabiri qwenu Mwendazake kauboresha na predictability yenu ni over 96% wakati si kweli! Weledi wenu ukoje?
Mbona wenzao BBC wametabiri kweliUshaambiwa ni utabiri wa hali ya hewa!
Ova
Kijazi alisema wana vifaa kumbe ilikuwa kumpamba Jiwe. Uko sahihi kabisaBbc / cnn wapo juu kiteknolojia wana super computer zenye uwezo mkubwa wa kufanya mahesabu ya kutabiri na wana satelite zipo juu vilevile zinatumika kutabiri ufanisi wao ni karibu 98%-99%
Tma wana rada ambazo huonyesha hali ya hewa wakati wa tukio sio utabiri kabla ya tukio
So watuachie hizo kazi wananchi tutabiri wakati wa tukio.Bbc / cnn wapo juu kiteknolojia wana super computer zenye uwezo mkubwa wa kufanya mahesabu ya kutabiri na wana satelite zipo juu vilevile zinatumika kutabiri ufanisi wao ni karibu 98%-99%
Tma wana rada ambazo huonyesha hali ya hewa wakati wa tukio sio utabiri kabla ya tukio
hapana, waache wasiseme uongoSo watuachie hizo kazi wananchi tutabiri wakati wa tukio.
Matusi ya nini? ningelkujibu vema , nakuacha jpili... usinileteleze kupata Ban, lkn vikizidi nitakujibu ipasavyoAcha ujinga
hapana, wajiongezeKama hawawezi wafunge hiyo mamlaka tutakuwa tunaangalia mawingu kama enzi za mababu zetu
Hata BBC/CNN walishakupitia huko baada ya kuona vyanzo walivyokuwa wanategemea vya kiserekali kuwapa taarifa ambazo hazikuwa sahihi walianzisha deparments zao na kuwa na vifaa vya kasasa kwaajili ya utabiri.Kwa wiki kama mbili nyuma sasa, TMA walitoa utabiri kuwa kutakuwa na mvua kubwa mikoa ya ukanda wa pwani ya Tanzania. Haikutokea mpaka leo hii hakuna mvua. Jana nikaangalia BBC/CNN weather wakasema coast of Tanzania with a mentin of DSM kutakuwa na mvua. Kweli sasa hivi niadikapo mvua kubwa inanyesha. TMA mama Kijazi mnakosea wap? Kuna siku ulisema utabiri wenu Mwendazake kauboresha kwa kuwanunulia vifaa bora na predictability yenu ni over 96% wakati si kweli! Weledi wenu ukoje?
umenenaHata BBC/CNN walishakupitia huko baada ya kuona vyanzo walivyokuwa wanategemea vya kiserekali kuwapa taarifa ambazo hazikuwa sahihi walianzisha deparments zao na kuwa na vifaa vya kasasa kwaajili ya utabiri.