TMA vs BBC/CNN weather forecast: Mama Kijazi mnakosea wapi?

Acha ujinga na wewe Utabiri kwa kingereza ni Kubet.Unaeza kubet ikawa kweli ama si kweli.
Duh akili za kubet hizi, Forecast is a calculation or estimate of future events, especially coming weather or a financial trend.
 
Wangejitahidi hata ku copy basi huko BBC na CNN.

Yani kujua hujui na hata ku copy unashindwa?
Ni kweli kabisa, maoni yangu ni bora hiyo TMA ifutwe aajiriwe binti mmoja tu aliemaliza form 4 English medium awe anawatafsiria TBC kutoka vyombo vya habari vya nje.
 
Weather app kwenye sim yangu ya android nina iamini kuliko taarifa za TMA
 
 
Hao jamaa TMA waliwahi kutabiri mvua kubwa itanyesha hadi jamaa akaahirisha kwenda kutoa mahali kama kesho jua lakawaka mchana kutwa, sio wa kuamini hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…