TMA yatabiri mafuriko, maporomoko mikoa 14, Dar ipo. Tahadhari yaathari kubwa kwa miundombinu na maisha

soma vizuri, Tindo mbona uko hivi.... ndiyo maana unamshabikia mropokaji Lisu!
wameandika hivi......Mvua hizo zinatarajia kunyesha msimu wa masika Machi- Mei 2025
Tazama uzi nilioquote, sio hizi jazba zako za kushindwa za yule king'ang'anizi wa madarakašŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…