Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Hakuna watu wanafuatilia utabiri wa hali ya hewa kma watu wa pwani....hasa wavuviWatanzania hatuna utaratibu wa kufuatilia hali ya hewa yakitokea majanga ndio wa kwanza kulaumu serikali,na wakati mamlaka ya hali ya hewa washatoa angalizo kwa watu kuzingatia na kujiandaa kwa lolote.
Watanzania hatuna utaratibu wa kufuatilia hali ya hewa yakitokea majanga ndio wa kwanza kulaumu serikali,na wakati mamlaka ya hali ya hewa washatoa angalizo kwa watu kuzingatia na kujiandaa kwa lolote.