TMA yatoa tahadhari ya mvua kubwa kwa mikoa 6

mbona huwa tunaambiwa na watu humu kwamba singida kwa mwamba Tundu Lisu ni jangwa?
 
Nilijua masika ni mwezi wa 3

Sent using Jamii Forums mobile app
Mikoa ya nyanda za juu kusini na kanda ya kati ina msimu mmoja tu wa mvua ambazo ndio za masika hizo hizo. Mvua hizi huanza november mwishoni au december na huisha mwishoni mwa april au mwanzoni mwa may.

Kanda ya pwani na mikoa iliyobaki ina misimu miwili masika na vuli, ambapo masika huanza mwezi wa tatu hadi wa sita.
 
Asante kwa ufafanuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hii ni masika au vuli?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kisulisuli mpenzi!! Tena kisulisuli cha haja!,kimetua kwako,nipe nafasi yako niunusuru moyo wako!.. nipe upendo wako nikufurahishe maishani mwako..
Mwanamke wa haja nikupe faraja Tena si kwavibaba bali kwa huba lililo mahaba! Nitakuondosha kwenye vuli na kukutenga na masika!,twende tukaishi mbali wasituone vishipa
Nikuite wangu wa Siri,uniite wako adili
Nikupe yote ya Siri,mabaya usifikiri.
 
[emoji7][emoji7] sio kwa ushairi huo jamani, nakataaje sasa...hebu kuja this way

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Badala yake kanda za ziwa inanyesha had kerooo!had hela tunapishana nazo round about😇😏🤔!
Yani TMA wakisema kesho kuna Tsunami Ziwa victoria wewe nenda kabisa mwaloni pale kalale usingizi mziiito.
Au wakisema kesho kutakuwa kukavu bagheshi usitoke kaa ndani litashuka bonge la mvua
 
Naelewa sana mkuu! Nimezaliwa na kuishi huko..ila never!...hapafai!

Ni nani aliyekuambia kwenye joto ndio panafaa? Ulaya yote ni sehemu ya baridi, tena baridi kali, umewaona hao wazungu wakipatamani huku kwenye joto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…