TMA yatoa tahadhari ya upepo mkali

TMA yatoa tahadhari ya upepo mkali

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Tahadhari ya Upepo mkali unaozidi Kilomita 40 kwa saa pamoja na mawimbi makubwa imetolewa kwa baadhi ya maeneo ya Pwani na Ukanda wa Bahari ya Hindi yakiwemo Dar, Lindi, Mtwara, Pwani na Visiwa vya Unguja na Pemba

Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) pia imesema maeneo machache kwenye Mikoa kadhaa ikiwemo Dodoma, Singida, Njombe na Iringa yatakuwa na hali ya Mvua ambayo inatarajiwa kupungua sehemu nyingi Nchini Januari 25, 2022

A1BD3DC8-9A37-4D8F-8898-3B9FE90DCA7E.jpeg
 
Back
Top Bottom