Soot Mkorofi
Member
- Nov 29, 2013
- 9
- 2
Wakala wa ukaguzi wa madini Tanzania wametoa taarifa kuwa kati ya July 2012 na Novemba 2013 wamekamata madini yenye thamani ya shilingi 15billion yakitoroshwa kupitia viwanja vya ndege.
Ukaguzi katika airports ulianza July 2012. Kabla ya utaratibu huo, nchi ilipoteza kiasi gani?
Ukaguzi katika airports ulianza July 2012. Kabla ya utaratibu huo, nchi ilipoteza kiasi gani?