Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Baada ya Mdau wa JamiiForums kudai baadhi ya Maafisa wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) wamekuwa sio waaminifu wanapokwenda kufanya ukaguzi katika baadhi ya maduka ya Dawa (Pharmacy) ikiwemo kutengeneza mazingira ya Rushwa, kuchukua Dawa na kutoziwasilisha kwenye ofisi za TMDA, ufafanuzi umetolewa na mamlaka husika
Hoja ya Mdau ni hii - Baadhi ya Maafisa wa TMDA wanaofanya ukaguzi Maduka ya Dawa wachunguzwe, wanakiuka maadili
JamiiForums imewasiliana na Mkurugenzi wa TMDA, Dkt. Yonah Hebron kuhusu hoja hiyo, ametoa ufafanuzi huu:
Natamani huyo mtoa mada mngemuhoji vizuri muhusika aelezee;
1. Ni Watumishi wa TMDA wa wapi?
2. TMDA bado haisimamii maduka ya Dawa muhimu na siyo rahisi kujua wenye matatizo ya usajili
3. Tukikagua TMDA, wakaguzi huwa na vitambulisho, awataje wakaguzi walikuja kwake ili hatua zichukuliwe
4. Mteja aandike barua kwa Mkurugenzi Mkuu wahusika wachukuliwe hatua
5. TMDA haijafanya operesheni yoyote juu ya suala hilo.
6. Wahusika kama wana ushahidi wa kuhusika kwa TMDA, wajitokeze, walalamike rasmi na hatua zichukuliwe
Ni vema awe transparent. Hatufichi uovu hapa. Let them be also transparent.