TMT Forex Training Lake Zone

guojr

Member
Joined
Dec 4, 2015
Posts
62
Reaction score
95
Haya ndgu zangu wa kanda ya ziwa, tujumuike pamoja kupata mafunzo ya Forex yatakayoanza tarehe 20 November 2017 jijini Mwanza. Training hii itaendeshwa na wataalam wa hii business The Million Team. Tuchangamkieni fursa wana lake. Link ya group hapo chini

TMT FX LAKE ZONE II
 
Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.

Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.

Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura na namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker.

JISAJILI SASA
Usisite kuomba msaada

TemplerFX | Promo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…