Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,271
- 1,052
Siongei mengi katika hili!kichwa cha thread kinazungumza.
Poleni na kazi kwa wiki nzima wakuu wangu,nawatakia mapumziko mema,mzisalimie familia zenu pia!MBARIKIWE SANA
wiki hii ilikuwa ya kihistoria kwangu!nimepata 'shock' na uhamisho wa kihistoria wa cristiano ronaldo kwenda real madrid.Kwakweli mpira ni biashara kubwa sana kwa nchi za ulaya.nikiangalia kiwango cha uchezaji bongo huwa nakata tamaa,natamani kama ningekuwa ughaibuni au mashariki ya mbali kama watanzania wenzetu kadhaa wanaoishi huko.
NAAMINI KILA MTU AMEGUSWA KWA NAFASI YAKE,kwa matukio tofauti tofauti!
NAWAPENDA SAAANA WANA JF!i hope tutakamatana tena wiki ijayo.
KARIBUNI KWETU KIMARA-SUKA JAMANI.