To all JF members(MMU exclusive); ile siku imewadia,. Kwa dhati kabisa nawaalika wote

lazima Mi na Mr. Rocky tuta appear, ila tatizo sisi tutakuwa wenyeji wako na wewe siku hiyo ndo boss, itakuaje? Tutajulikana?

Du..wewe nae!

Ushapakumbuka Useri!

Panda URAFIKI ya saa 10 tunakusubiri na Mzee wa Kunyorosha!

mi namshauri apandeMERIDIAN ndio atafika napema

lazima Mi na Mr. Rocky tuta appear, ila tatizo sisi tutakuwa wenyeji wako na wewe siku hiyo ndo boss, itakuaje? Tutajulikana?

duh! Itakuwa kaz sana kufahamiana labda itengwe meza iandikwe jf mbrs only

Du..wewe nae!
Ushapakumbuka Useri!
Panda URAFIKI ya saa 10 tunakusubiri na Mzee wa Kunyorosha!

Nimepakumbuka sana si unajua tena Mzee wa kunyorosha
na umuhimu wake.
Subirini tu naingia hapo soon.

Duh mkuu unataka aue kabisa au abakishe hai
BTW hongera sana mkuu kwa hatua hiyo na karibu kama jamaa alivyosema hapo juu kwenye chama chetu hiki
Mungu awatangulie sana katika hatua hii
Mkuu nitakuwepo bana usininyime kadi

lazima Mi na Mr. Rocky tuta appear, ila tatizo sisi tutakuwa wenyeji wako na wewe siku hiyo ndo boss, itakuaje? Tutajulikana?

FB aise usiache kunipitia bana pale kwenye kijiwe chetu maarufu pale maana nitakuwa pale nakusubiri na mzinga wa John Mtembezi

Kumbe harusi ndo hivi?Nilikuwa sijui!Mlio karibu nendeni!

Hongera saaaaaaaaana ndg yangu, Mungu afanikishe shughuli yoote kwa ujumla ifanyika kwa usalama. Mungu abariki ndoa yenu, muishi kwa amani, upendo, kusikilizana na kumtegemea Mungu na awajalie watoto wa kiume na wa kike. Ila tafadhali tusisikie malumbano, upendo mlionao sasa hivi udumu daima

Nimepakumbuka sana si unajua tena Mzee wa kunyorosha
na umuhimu wake.
Subirini tu naingia hapo soon.
....Sasaaa na mimi mnipetie ride basi nitawasubiri galaxy pale mianzini nitakuwa nastua stua na visichana. Mambo ya sherehe bora uwe umeshajikoki kabisa toka kitaa unaweza kufika eneo la tukio hadithi ikawa tofauti ukabaki macho yamekutoka..

mbula! Halafu tunaichanganya na viroba a.k.a mkojo wa firauni(valuu) au kaschana(konyagi) au piwa na kreti ya banana hapo unaonaje eti mnama?

CHONDE CHONDE ULEV N NOUMA

Duh ngoja niandae mfuko wangu wa Rambo, Pilipili na Ndizi tayari kuupiga huo mpunga. Mungu akutangulie katika nia yako njema na akuwezesha kupata matunda mema ya ndoa.

nawashukuru wadau wote kwa pongezi,.. nawakaribisha sana, PJ, First born,sajent, asprin, Mr Rocky,na wengine wote..G crisis ndafu haiwezi kosekana,...Aine nashukuru mno kwa ushauri nitajitahidi kuuzingatia. Mr Rcky ukiwa tayari kuja nuarifu nitaarange for something like...nawashukuruni na karibuni sana

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…