To all JF members(MMU exclusive); ile siku imewadia,. Kwa dhati kabisa nawaalika wote

hongera sana ndugu.. natamani sana kuwepo pale.. ngoja niongee na afro D
 
hongera sana ndugu yangu ....watu walikushauri na sasa unafunga pingu za maisha ....hata ukiwa huko ndoani ...ruksa kuja tena kuomba ushauri ...wapo waliobobea kwenye ndoano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…