To all job seekers particularly fresh graduates

Typical Tz

Member
Joined
Sep 13, 2011
Posts
45
Reaction score
4
Kwa wote tunaohangaika kutafuta AJIRA baada ya kuhitimu!

Kwa mtazamo wangu nawaombeni tufanye yafuatayo:

Tuendelee kutafuta kazi kupitia vyanzo mbali mbali, LAKINI kwakuwa hatujui tutapata lini kazi na maisha ndio magumu kila leo, nawaombeni tutafute namna ya kujitengenezea ajira tuache kuogopa nduguzangu!

Tutafanikiwa kama tukiwa na umoja na nia ya kweli, kwa kuunganisha FANI na UJUZI tofautitofauti tulionao tukiwa na lengo moja la kupambana na huu umaskini wetu, nawaambieni haijalishi hatuna pesa za kuanzia wala uzoefu kama wengi wanavyofikiri tutafanya kitu cha maana sana na tutafika mbali. (kikubwa tuunganishe mawazo ye2 kwanza ,hivyo vingine vitafuata)

Hii ndiyo naona suluhu! kuliko kila mtu ahangaike kivyake Dunia ya leo hasa kwa sisi tunaohitimu ambao wengi wetu,kwa mfano mimi binafsi sina kazi, sina pesa, sina mtandao..naona inakuwa ngumu sana kufanikiwa. Hivyo kwa yyte mwenye nia ya kusaidia zaidi wazo langu na pia kwa yyte aliyetayari kuungana nami tuwasiliane kupitia nwk2020@gmail.com

 
<br />
<br />in boxing me ur contact 2gother we can
 
What do u hav in mind?umesomea nin? N wht r ur plans?

Boss, Nina Advanced Diploma in Banking& Finance, Kwasasa natafuta ajira ili nipate Fungu lakuniwezesha kujiajiri mwenyewe kwa kutumia elimu yangu! kama nilivyosema I hv no job and no money.
 
Nice move mdogo wangu....bt kuna microfinance kibao ambazo u can volunteer so u can gain more on workin environment...hapo sasa unaweza pata mwanga wa kujiajiri..elimu daftari inatofauti sana na mazingira hucka...mwenye pesa hata ukampelekea idea nzuri vip bt ataangalia uzoefu wako ili acongeze risk ya funds zake.Ni ushauri tu.
 
Thank you bro for your time and come up with a great idea. It is true there are many graduates in the streets without any job to do. I have no doughty you will receive a lot of emails or sms from graduates to join you. The most important step right now is to form a strong union with committed members then come up with proposals seeking for funds. All the best. My email "mndeva07@yahoo.com"
 
hbu ni pm mkuu ili nikupe web ambayo inatoa fund juu ya shughuli mbali mbali
 

Thanx!
 
Thats the best idea you have got man! Its true we need to unite and come up with solid idea on how we can employ ourselves at the same time building our Nation. Count me a member!
 
Idea yako ni nzuri na inaweza saidia wengi. Nadhani njia rahisi ufungue ukurasa kule kwenye Facebook ili watu wakufuate kirahisi. Utapata wengi
 
Very poor English,poor arrangement of sentence ....Jamani are real graduate from the College or University?do not worry my young brother Jobs are there bt first have the Graduation hoping and its my expectations beyond no shadow of doubt that you have not performed a Graduation Ceremony,be cool and surely time will tell and you will get Job ....alll the best
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…