To all job seekers particularly fresh graduates



Nashukuru kwa maoni yako! Kikubwa nilitaka kufikisha ujumbe na nashukuru ujumbe wangu umeeleweka licha ya kuwa na Very poor English! Kikubwa ni njaa Boss wangu unajua sina kazi , sina pesa hata kula issue, ndio maana nilikosea ila siko hovyo sn, pia nime-edit post kama hukuielewa nakuomba isome tena ili unipatie ushauri zaidi boss wangu.
 
pa1 mkali, mwenyewe ni fresh graduate nina degree ya electrical engineering, but kinacho2kwamisha mtaa ni experience kila kaz wanayotangaza wanadai experience kuanzia miaka 5 nakuendelea,kiufup kwe2 inakuwa shuhur, coz mfuko m2pu nothing 2do! na kazi nyingi undugulaization kibao, kwakweli ni shuhuri, email yangu ni vegulae@gmail.comz
 
well,naona sasa tumemua kutengeneza ajira na hii itakuwa suluhisho,mi niko taayari kabisa,tuache kuogopa
sasa hapo juu naona emails zimekuwa nyingi,naomba tuwasiliane na aliyetoa wazo nadhani itakuwa vyepesi
au kama simu zikitumika itakuwa vyema zaidi
 


Nahitaji watu waliotayari kujoin-wazo langu! Hivyo kama na wewe umetambua umuhimu wa hoja yangu tuma no.yako ya simu via nwk2020@gmail.com kwa mawasiliano zaidi.
 
oh, God help. Who is laughing at who???????!!!!!!!!!!!!! Do you have the slightest idea what course did the graduate take at the varsity? Do you think whoever joins a university is compelled to study English as a language? Yes, the language used might be poor, but did you get the message intended to be delivered? Jamani hii ni lugha ya wengine. Kiswahili chenyewe tu tunashindwa kujua kipi sahihi kati ya 'suruali' na 'suluari' itakuwa kiinglishi!
 
Typical Tz: real Unitification w'll make every graduate to enjoy the life after hardly years in studies.

In fact, if we join ourselves into group(people wiz different professional but wiz the same concrete Mission and Vission) real w'can endup wiz something, no matter about having no cash at the begining.

Actually, i concur wiz Typical Tz's idea.
 
seriously una mawazo mazuri rafiki, and that is what we as young and energetic people have to do, we have to be creative and trust me dunia ya leo ni kazi kufanyikiwa kimaisha kama vichwa vyetu vitalala.
 
Definetely your English is very poor, but your ideas are Great. Instead of looking for a job, it is a very honorable thing to create our own jobs ourselves based on the knowledge we have. It takes "THE WILL TO DO IT" to get things done.
When asked by The President of United States, John F. Kennedy, at Marshall Space Flight Center(NASA Largest Center) What it takes to send a man to the moon and come back to the earth alive, Dr. Warner Von Braun, replied. "THE WILL TO DO IT". So it was, and eventually, You know the rest. By the way, English is just a language. Don't "think" in english language. Think in your mother tongue.
 


Nime-edit boss wangu kama haikueleweka vizuri, nashukuru kwa ushauri wako,tatizo nina njaa sana (sina pesa, sina kazi..hivyo hata ubongo unalala boss) ukiwa na njaa hata kupangilia inasumbua ,hivyo kama hukuipata sms vizuri nakuomba ipitie tena kwa ushauri zaidi.

 
u don need to unite thats too political it won help.muda wenu unakuja mtaajiriwa tuu na nawaombea mfanikiwe hadi mshangae
 
u don need to unite thats too political it won help.muda wenu unakuja mtaajiriwa tuu na nawaombea mfanikiwe hadi mshangae

kama inawezekana kujiajiri fanyeni hivyo mtawahi kufika mbali kuliko kuajiliwa! kwanza mkijiajiri mtatengeneza ajira hata kwa watu wengine. good idea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…