to all my single boyz in here..

unaweza ukamnadia mke wako mwizi bila kujishtukia. tutubuni jamani , hii picha inazihirisha kabisa kwamba tumeumbwa kwa udongo.

Tubu kwanza wewe,sisi tutakufuata,huo udongo umejua leo umeumbwa kwa wenyewe baada ya kuona huyo dada???
 
Tubu kwanza wewe,sisi tutakufuata,huo udongo umejua leo umeumbwa kwa wenyewe baada ya kuona huyo dada???
acha nimalizane na husninyo halaf nitatubu, si inakubalika hii kwenye maandiko au?
 
ila jamani nasema ukweli kutoka moyoni mwangu,
huyu dada ni mzuri,tena sana,mwanaume mjanja atauona uzuri ninaouongelea,
hapo ukimshauri asipake hayo mawanja na akifundishwa kuvaa bling bling za kiasi nawaambieni wakina hashycool na klorokwin watakuwa wa kwanza kumvizia 'shemeji yao wa wakati huo.
Dada ni mzuri sion kasoro yake,wala mim sion wanawake wengine walichomzidi,tofauti ni kwamba yeye bado hajajua ile rule ya 'less is more'.
kweli sijamleta hapa ili anangwe bali niliona anafaa kumuondoa binam yangu mmoja ktk ubachela.
 
total pimping.....huyu inabidi tumpelekee eksi zibiti
huyo eksizibiti mwenyewe ataonekana kama shoga tu mbele ya hiki kifaa. dah! cheusimangala kapoteza apetaiti yangu ya midnait kabisa yaani.
 
sjui hashycool lakini mimi sidanganyiki, narejea kwa forein lengueji i kenot be tempted
 
huyo eksizibiti mwenyewe ataonekana kama shoga tu mbele ya hiki kifaa. Dah! Cheusimangala kapoteza apetaiti yangu ya midnait kabisa yaani.

huyu ukimpata mnaenda ki gengsta lavu,,,,,,,
 
huyu ukimpata mnaenda ki gengsta lavu,,,,,,,

halaf anauza ka duka ka vipodozi aisee, navionea huruma kweli vile vipodozi kule kwenye shelves, nazani anauza 6 anapaka mwenyewe 12. wanamahesabu tunasema ratio ya 1:2. dah! acha nirest kesi yangu hapa, isje ikawa kuna mod anammind mdada wa watu, hasira zake akaishia kuniban mimi.
 
sjui hashycool lakini mimi sidanganyiki, narejea kwa forein lengueji i kenot be tempted


ngojea nicheck tena ktk waliotuma pms za kuniomba contacts zake nihakikishe kama haupo,
ila hata kama upo sitakutaja.
 
kwa nini unakataa?....kwani hafai......Ila Cheusi huyu shost na huo wanja ndio dizaini gani tena hiyo....
hujambo lakini mpenzi
huyu dada akaoshe uso na kutuma picha ingine.

dah! wakuu nikifa basi sababu ni hayo maandishi ya red. naomba michango ya mazishi mumkabizi lawyer wangu uporoto1. RIP klorokwini
Kamanda hautazikwa kwa michango we have you covered kwa kutuchekesha kila siku.
 

kaka nazani bath tub yake anajaza jiki halafu anachanganya na mapapai HALAFU ANA PONDEA PONDEA NA UTOMVU WA MUAROBAINI
 
huyo eksizibiti mwenyewe ataonekana kama shoga tu mbele ya hiki kifaa. dah! cheusimangala kapoteza apetaiti yangu ya midnait kabisa yaani.[/QUOTE]

sorry binamu haikua nia yangu kuipoteza apetit yako.
 

Kwenye sharti lake la kwanza kabisa amesema huyo mchumba akubaliane na urembo wake na asimpangie. Sasa hapo sijui utamshaurije asipake hayo mawanja na kumfundisha kuvaa bling bling za kiasi? Unachakachua masharti yake eh?
 
[/COLOR][/B]
ngojea nicheck tena ktk waliotuma pms za kuniomba contacts zake nihakikishe kama haupo,
ila hata kama upo sitakutaja.
naomba angalau kwa hili kuwe na privacy. sheria za JF haziruhusu kutoa siri za PM (mwisho wa kunukuu)
 
hashyool na klorokwin, wanasaikolojia wananiambia kwamba jinsi mnavyojitahidi kumponda huyu dada ndivyo inavyoonyesha jinsi mmeshanasa.
si mseme tu tuamue yupi kati yenu anastahili kuondoka na mrembo,niwakusanye kina mama wa jf tuanze kupiga vigelegele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…