to all my single boyz in here..


hahaa mpwa unaniua kwa kicheko ujue.
ila klorokwini hebu tuongee ukweli,hivi kama kitu hukipendi si ukiondoka hugeuki tena nyuma,lkn mpwa wangu ww umekua hukauki kila dkk unakuja kuchungulia hizi picha tena nahisi kausingizi kazuri ulikapata jana baada ya kuiona picha ya huyu mdada.
mpwa usiudhulumu moyo wako,ukichelewa wajanja wakakuwahi ujue jinsi ya kuhandle heart attack,sitaki kukupoteza mpwa wangu kwa vitu vinavyoepukika.
 

Mhhhhhh, ndo maana mchungu kama nini.
Bora sindano kuliko wewe yani.

Ok, nitazirudisha zote, wala usijali.
 

Nisaidie tu kumwambia dada angu, sijui kwa nini lakini!!
Rethink about me please Klorokwini!
 
CM hapo kwenye mibangili ya shaba mkono umechakachuliwa??Lakini mimi naona huyusiyo mzima maana yawezekana ankula ndumu maana huyu kwanza usikae na vitu vyenye ncha kali akawii kukuumiza!!Na huyu akilewa usijaribu kumwambia twende home unatafuta balaa mwache anywe mpaka tikeshe!!Nanjaa lakini chakuhiki sili!!!
 
Never Be Afraid To Say what you feel,
kakakiiza hii avatar yako inafanya nashindwa kukonnsentreiti.
long time no see you dear,hope u doin fine.
 
ai-koni au logo ya friii masonzi ambaye ni trainee

nimekusoma mzee upande wa pili kule......hiyo kwenye paji la uso inaweza kuwa ndo alama ya mnyama tunayoisubiri
 
Haya Masingle Boys!!!, Mko wapiiiiiii!!!!!!!!!!, Mbona Kimya?????, Ama ni mfupa ulio shinda Fisi?????.

Ahsante, Cheusimangala, waletee vituuuuz!!
 

ha ha ha ha ha!
Lol.
 

Hahahahahahah hii kali.
 
subiri kama miaka 26 hivi nitakuwa na hizo sifa hapo juu usife moyo,,,,,umeskia eeeh!🙂🙂


 
mkuu nipo, lakini naomba tutafteni sredi nyengine tukaweke kambi. hapa panaweza pakatusababishia impotency ya baiolojia zetu.

unaweza kushangaa jogoo kauchuna mpaka saa nne asubuhi hajawika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…