To all teachers

To all teachers

Mr Mayunga

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
313
Reaction score
40
Huyu mwanafalsafa na mwanaharakati alisema,few shall sacrifes themselves,for the betterment of the whole!kwahiyo hiyo 4.7% ambayo ipo nyuma isituogopeshe.Tuendelee kusonga mbele,mpaka kieleweke.
 
"A man who won't die for something is not fit to live" martin L K,Jr
 
Hakuna atakayekuja kututetea zaidi ya kusimama kwa miguu yetu na kukataa dhuluma kama hii na unyanyaswaji na dharau tunayofanyiwa walimu!!!What for if we are not respected and always undermined!!Liwalo na liwe,mbele twasonga!!hakuna kurudi nyuma!!We should stand or our right
 
bila shaka walimaliza la7 wakiwa hawajui kusoma, sasa watamaliza chuo kikuu na walimu wao watakuwa hawajui kusomapia. who care
 
Thanx walimu kwa hlo mmejiamin mmesubutu mmeweza solidarity forever teachers
 
We government we don't care. That is why we say liwalo na liwe.
 
go go go teachers!! Mimi nimeshaanza likizo ya sensa naangali bunge tu.
 
KAMA WALIMU SIO MUHIMU MBONA KILA KAZI ZA MUHIMU KAMA SENSA NA UCHAGUZI MNAWABEMBELEZA? GOMA GOMA GOMAAAAAA . . ! TUSUBIRI VITISHO VYA MKUU WA KAYA a.k.a Monitor; KESHO MWISHO WA MWEZI,HOTUBA YAKE
 
Back
Top Bottom