Mr Mayunga
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 313
- 40
Ndibalema hapo umenena mkuu, hebu angalia siku ya leo tu jins ambavyo Tz imetikisa. unajua kama ni ch siasa basi kina nguvu sana. wala hakuna wakulipinga hili.Naamani Walimu ndio watu pekee ambao wana nafasi nzuri ya kuleta mabadiliko ya haraka hapa nchini.
"A man who won't die for something is not fit to live" martin L K,Jr