Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,413
- 4,020
Ni kweli mkuu, inawezekana mtu atakayeleta changes za kweli yuko ndani ya CCM. Hivi vyama vingine, naona itachukua muda kuwashawishi wananchi kama wanafaa kushika madaraka ya juu ya uongozi.Zambia na Malawi waliamua kwa haraka kupiga chini vyama tawala wakaingia matatizoni kwa Chiluba na MuluziMutharika Malawi alipitishwa na CCM ya kule..alipopata uraisi basi akahama chama akaanzisha chama chake na hadi leo ni raisi!
Je Jk hawezi kuamua kuondoka CCM kabla uchaguzi??
To fight with a devil you must be a devil..