Lakini hiyo nimeidownload humu humu jukwaani.Kuwa makin na Bin files.. kuna hizo na kuna Bat files..
Ukijichanganya tu unaactivate malware au kwa jina lingine virus.. ambaye anakuw executable ktk device yako na hapo ndio utajua hujui.
Kutoka kwa nani?Lakini hiyo nimeidownload humu humu jukwaani.