winston wilson
New Member
- Oct 20, 2018
- 2
- 0
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]darasani upo peke yako?
Duh..............fb hii sasa.kwa jina naitwa winston naulizia wadau wa geology hku jmn me npo udom first year napiga applied geology
Geologist hataki kujifichaDuh..............fb hii sasa.
Komaa kwanza nashule mwaka niliosoma walikuwa 12 wakagraduate 4 so nimapema sana hata aris yako haina kitu kuanza kutafuta experts,maana pande hizo kurudi home nikawaida tuno sipo peke yangu lakin naulizia experts