To German Embassy in Tanzania: Protesters were burned alive at a German cement factory in Dar es Salaam. We need answers!

😳😳duuh hadi kwenye tanuri la moto walipelekwa.kama ni kweli haya ni mauaji ya halaiki.
Imekuwa kama escape from sobibo
 

Kama wamefanya ujinga huo basi waliyofanya vikosi vya mauaji Tanzania kile walichokipata vikosi vya SS ya NAZI ya Hitler wa Ujerumani na Nuremberg kipo karibu kuwarudia hapa Tanzania vikosi maalum na makamanda wao pia amiri jeshi mkuu wao.

The National WWII Museum | New Orleans


The Nuremberg Trials | The National WWII Museum | New ...


The defendants were 177 high-ranking physicians, judges, industrialists, SS commanders and police commanders...

 
Affirmative. Hiyo ya kuzuiliwa kwa 10 ICC officers - Ni fake news kuprovide false hope!

Official website ya ICC. Search for all Tanzania related topics through their public database. No mention of this.

Na hata kwenye mainstream international media, kweupe.


Tuwe makini!
 
na hiyo ya waziri Amina ni fake ?
Kuua watanganyika ni Tanzania sovereignty?
 
HII SAFI SANA WAENDE KWANZA GAZA NA SUDAN WAACHE UPUMBAVU WAO WA KIMBELE MBELE KAMA VILE HORMONES ZIMEWAKAALIA VIBAYA PUMBAAAVU
elf 10 kwa siku tatu hata Gaza wanafikia hii ?
mpk agusw mtu wako wa karibu ndo utapata akil ?
 
elf 10 kwa siku tatu hata Gaza wanafikia hii ?
mpk agusw mtu wako wa karibu ndo utapata akil ?
hapana shida siku ile hakukuwa na maandamano ulikuwa uhalifu , yaaani watu wanachoma tu hakuna hata ujumbe wa sababu ya maandamano? ulikuwa ushenzi wa ajabu sana mimi mpaka leo nataka wale wote walioonekana kwenye social media wapigwe shaba tu, watafutwe hata mpka december wale shaba
 
Na huyo aliyetengeza fake New ya kwenda kufungua kiwandacha cement na kuwasha mashine kuswaga swaga maiti je imetungwa
 
Watanzania waomba ushirikiano ili kuibua undani wa kile kilichotokea katika Kiwanda cha Saruji cha Twiga jijini Dar es Salaam wakati wa ukandamizaji wa umwagaji damu wa Samia Suluhu Hassan katika maandamano ya siku ya uchaguzi Oktoba 29, 2025.

Kulingana na ripoti mbalimbali za vyombo vya habari na mashuhuda wa tukio hilo, watu waliofariki na walio hai walitupwa kwenye tanuru zinazofuka moshi katika kiwanda cha saruji cha Kijerumani nchini Tanzania, Twiga Cement, eneo la Tegeta Wazo Hill, Dar es Salaam.

Ukumbusho wazi na wa kuvutia wa umaarufu wa chumba cha gesi cha Adolf Hitler. Asilimia 70 ya hisa za umiliki wa kiwanda hicho zinashikiliwa na muungano wa Kijerumani, Heidelberg Cement Group.

Ubalozi wa Ujerumani nchini Tanzania unaweza au unapaswa kufahamu yafuatayo:

Nambari ya moja
Wakati wa saa zilizofungwa, siku ya uchaguzi, ni nani aliyefungua milango na milango ndani ya kiwanda kwa ajili ya wauaji waharibifu?

Nambari 2
Ni wahandisi gani waliwasha tanuru za wasimamizi wa usalama wa uporaji wa serikali?

Nambari 3
Ni watu wangapi, waliokufa na hai, walichomwa kwenye kiwanda hicho?

Nambari ya 4
Yako wapi majivu na mabaki ya miili ya marehemu?

Nambari 5 Je! ni nani aliye na uwezo wa kuhifadhi picha za uchunguzi zilizonasa uhalifu wa kinyama, wa zama za kati na wa kihistoria dhidi ya ubinadamu ambao ulifanyika katika kiwanda hicho cha Ujerumani?
 
uhalifu unadhibitiwa kwa kupiga risas za kichwa ?
 
This will be an international scandal 0f a magnitude never imagined if this incident actually happened
Mzee Mwanakijiji
Salam sana, unaamini kabisa Corporate Company kama Twiga, chini ya Helderberg Material wanaofanya biashara kwenye nchi zaidi ya 50 duniania wanaweza fanya hivi?

Kumbuka pia, Kampuni za Wazungu zinajali sana Reputation zao!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…