To Kenyans kuhusu ile bandari mliyokua mkiibeza sasa kaeni mkao

Nyie mna walakini sio bure, budget yenu ya 70 billion inamalizikia almost yote kwenye expenditures sababu ya big burden of needs from many people more than 48 million

Oman budget yao nyingi unaenda kwenye development projects and bigger investments sababu they don't have any burden to serve they have fewer people but bigger cash to engage in development issues than social services hii nyie kwenu ni ngumu kuelewa.
 
ndio wakona budget kubwakutuliko ila hawawezi waka finance project ya $10B...imagine watoe 10B yote watabaki na ngapi...tumia akili ndugu...nchi inayoweza kufinance bagamoyo ni China na USA pekee yake...Japan pia inaweza
 
ndio watu toka Oman wana pesa nyingi kuliko wakenya ila Oman haina nguvu kiuchumi...nguvu ya ku finance mega projects...
How much do you pay to your civil servants per month in accordance with your GDP please?
 
ndio wakona budget kubwakutuliko ila hawawezi waka finance project ya $10B...imagine watoe 10B yote watabaki na ngapi...tumia akili ndugu...nchi inayoweza kufinance bagamoyo ni China na USA pekee yake...Japan pia inaweza
Kwanza hata hujui uhusika wa oman kwenye hii project, hii project ni joint venture ya Tanzania, China na Oman hilo kwanza unatakiwa ulizingatie.
 
mbona unakwepa mdahalo...habari zako zinaongelea bagamoyo..bmona hutaji hilo...lol!!
I came to realize that you are knowing nothing big shout but little knowledge of what you are yelling for
 

.
Mkiongelea nguvu ya uchumi wa kweli, mnaongelea 'GDP at purchasing power parity (PPP)' ambapo Oman wamewapita karibu mara mbili ($300B) wakati nyinyi mna $164B, sasa sijui mna hoja gani hapa?
 

Amezaliwa na kukulia Pemba
 
Wazo la bandari la bagamoyo nililipenda sana, a redistribution port that breaks bulk for other smaller ports. it was a niche not occupied by any port in Africa.

Ikiwa kweli itajengwa itakua mradi wa maana sana, Jebel Ali in the UAE will have a real competition. But the thing is it'll be viable for as long as other African ports remain small, unable to accommodate panamax size vessels. Once they expand, which they're doing, commodities will be shipped straight from any source
 
Kazaliwa Pemba kakulia Pemba kasoma shule za msingi na secondary akiwa Pemba.
Na amekuwa akija Tanzania na Kenya kama raia wa kawaida mda.
 
Hamna jipya hapa, waswahili maneno mengi utekelezaji zerooo !
Hali halisi Ngedere mkenya, kuku mtz[emoji3] [emoji191]
 
Nimesikiliza hotuba zote, hamna bandari iliyotajwa.
 
Idadi ya watu Oman ni ndogo,hawazidi milioni 4,wakati Kenya ni zaidi ya milioni 40,Sasa linganisha kipato cha baba mwenye watoto wanne,na baba mwenye watoto 40,matumizi hayawi sawa hata siku moja.
 
Kumbuka idadi ya watu Oman ni ndogo sana,sio zaid ya milioni 4,wakati idadi ya watu kenya ni zaidi ya 40 milioni.
Hilo sio hoja kuhusu idadi ya watu Oman kuwa wachache. Ukweli bado utabakia palepale, ya kwamba uchumi wa Oman ni mdogo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…