To Kenyans kuhusu ile bandari mliyokua mkiibeza sasa kaeni mkao

Hiyo six lane express way mbona imeshaanza kujengwa phase 1 Dar chalinze,
Phase 2 chalinze morogoro na itakuwa inajitegemea inajengwa under PPP khy itakuwa ni ya kulipia road toll na itakuwa na flyover za kumwaga.
 
ndio wakona budget kubwakutuliko ila hawawezi waka finance project ya $10B...imagine watoe 10B yote watabaki na ngapi...tumia akili ndugu...nchi inayoweza kufinance bagamoyo ni China na USA pekee yake...Japan pia inaweza
Oman Wana oil sovereignty fund wacha kulinganisha Oman na Kenya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…