Ubovu wa Katiba ya nchi unachangia hii hali. Katiba ingekuwa inaruhusu independent candidates baadhi ya wanasiasa wangeamua kuwa independent badala ya kuhama hama vyama!1. Tumesahau ya Frederick Sumaye
2. Lowasa Ngoyai
3. Mashijji ( sikui huyu aliokotwa jalala gani)
4. Etc etc etc
Huyu Gambo ni CCM kiwango.cha.kuteka Wanachadema. Leo kwa vile katemwa "kwao".CCM mnamkumbatia
Tuombe uzima nitaurudisha uzi huu the future to come?
Umegonga penyeweUbovu wa Katiba ya nchi unachangia hii hali. Katiba ingekuwa inaruhusu independent candidates baadhi ya wanasiasa wangeamua kuwa independent badala ya kuhama hama vyama!
Na ingekuwa kipimo kizuri cha kukubalika kwao na wananchi.Ubovu wa Katiba ya nchi unachangia hii hali. Katiba ingekuwa inaruhusu independent candidates baadhi ya wanasiasa wangeamua kuwa independent badala ya kuhama hama vyama!
Gentleman,1. Tumesahau ya Frederick Sumaye