Eti wewe uonavyo kamanda anamwambiaje mrembo hapo??? Nimeibamba hii picha kwa mshikaji wangu kwenye fb, anasema aliipiga akiwa njombe-iringa. its so nice nikaona tufurahie wote. its natural and original too...hahhaahh i love this snap!!
Watoto wa Kamwene haooooooooo inaonyesha Mkuu ZionTZ wewe unatoka Iringa?Eti wewe uonavyo kamanda anamwambiaje mrembo hapo??? Nimeibamba hii picha kwa mshikaji wangu kwenye fb, anasema aliipiga akiwa njombe-iringa. its so nice nikaona tufurahie wote. its natural and original too...hahhaahh i love this snap!!
Tunatoka mbali it is true it is a nice picture. Labda anamwambia maisha bora kwa kila mtanzania inawezekana.Eti wewe uonavyo kamanda anamwambiaje mrembo hapo??? Nimeibamba hii picha kwa mshikaji wangu kwenye fb, anasema aliipiga akiwa njombe-iringa. its so nice nikaona tufurahie wote. its natural and original too...hahhaahh i love this snap!!
..amenimaliza huyo mtoto wa kike ndai kapiga jeans then sketi ya shule. sasa sijui akifika shule wanamruhusu kweli kuingia nalo class?? I like it any way:lol::lol:Aaaaw!..nice one, expression ya huyo mtoto wa kiume acha tu na mkono kashika!!..wamefanana pia,lol🙂
..amenimaliza huyo mtoto wa kike ndai kapiga jeans then sketi ya shule. sasa sijui akifika shule wanamruhusu kweli kuingia nalo class?? I like it any way:lol::lol:
Watoto wa Kamwene haooooooooo inaonyesha Mkuu ZionTZ wewe unatoka Iringa?
Mkuu ZionTZ inaonyesha hawa wanapenda? sio wanaotoka katika familia moja. na wakiwa wakubwa wanaweza kufanya majambozzzzzzzhahahahhahah mzizimkavu mbona mi co wa kule,...? sema nimemaindi sana hili pozi...yani kama wazazi wao wakafanikiwa kui-hifadhi hii picha af wakaja kuwaonyesha wakiwa watu wazima hata kama kila mtu atakua na maisha yake, lazma watataftana kwa kweli...japo kukumbushiana tu...its such a nice photo...yani hamna kuizigiza hapo ni full hisia....hahhhahahahh
u didn't take the pic, how'd you know "its natural and original too..."?... its natural and original too...