wallah nakuhesabia we umeanza me nitamliziaHiki ni kinini jamani babe
😀😀 narithi leoHahahahahhahahaha we babe angekua bwana yule saa hizi ningekua nakula darasa nahisi atakua mwalim
nakuahidiHahahahahahhahah usirithi tabia mbaya mpenzi sipend ukue vile
nitakuwa hivi siku zote bebKabla ya kuniahidi, najua fike huwez kua vile yan nakuomba usibadilike kabisa hiki ndio naomba kwako kila siku
#1 hiyoHahahahhahahaha babe ndio nn sasa jamani
naona naulizwa swali ambalo lipo nje ya madaHahahaha wapi mesema mtu kaibiwa babe usinilishe maneno mimi
ntalia babeHahahahahhahaha muone takuchapa
usinichape basisipend kukuona ukilia hun
sikuchapi baby wangu