Yaani
Nimelala we dada na beer zimeisha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Uchoyo unakusaidia nini wewe?? Niko Sinza hapa nakuja kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahaha hahaha hahaha
Acha nicheke mimi
Ndiwoooooo
WoyoooooMie huwa nalembua tuu
Hahahaaaa....kazi kweli kweliYule ni ex wangu tu jamani, hata we si una ex wako eti!!
Khaaaa ebu acha uongoMie hata kujaribu siwezi
Nalala mie na simu nazima
Tulikuwa tunaambizana tuu venye unajua kuleta habari kwa matishioooo
Nini dada
Wala mie siandikiwi tenaaa....Ndio sitawaita tena
Hahaha hahaha hahaha hahahaLiniiii uliniita vizuri mpaka napatwaga na tumbo la kuhara najua mpicha wangu umetundikwa uko
Hebu cheka tuu jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mbavu zangu mm
Hahaha hahaha hahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama nakuona ukishaonja