Hotel akulipie Bebe wako
Hahaaa!!kumbe je ntafikaje town sasa!!!barabara mbovu balaaaa mvua hizi usipimeNgoja kwanza kwahiyo we dada unaomba lift za watu au mm sijaelewa
Alikujibu?Ndo kusema yule ashakua marehemu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahhahaa
HahahahaHahaaa!!kumbe je ntafikaje town sasa!!!barabara mbovu balaaaa mvua hizi usipime
Sent using Jamii Forums mobile app
Mxxiuuee
Kwa hiyo hutaki???Mmmh
Mimi tena jamani
Hahaaa!mwenyewe mtekaji..Hahahaha
Kwahiyo unasimama barabarani unaomba lift watu hamuogopi kutekwa
Jamani Dada
MmmhHotel akulipie Bebe wako
Hataki ndioKwa hiyo hutaki???
NitafutieWeeh baba ushindweee tafuta mkubwa mwenzio sitaki mbemenda mtoto wangu
Unapenda kuutesa sana moyo wangu, au sababu unajua nakupenda mimiKwa hiyo hutaki???
HahahahhaHahaaa!mwenyewe mtekaji..
Tena wana roho mbaya balaa hawatoi lift huku ila najitoaga ufahamuu tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikujibu rudi nyuma