Vipiii tena etiMmmh
Haki tena km wapo humu wasome tuu !!!!waanze kua km wenzao jamani lift mpk umjue mtu chaaah!!!Hahahahha
We dada umenishinda jamani
Nilivyoona heading nilijua Mama Sabrina ndio kaanzisha uzi.
Sasa si bimdogo na bimkubbwaaa sisi hatugombanii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa mbona na mm mpenzi wake
Ebu nishukuru mm niliyeenda kukuamshia huko
Aaaah ndo vile ukikuta watu wanalia na wewe unalia sio hahaaaaWe mkuu we unasubiri mpaka pa pakuhusu eeenh we jichanganye tu
Hahahaaaa....don't worry swrily love is a beautiful things u know...
Aaaah ndo vile ukikuta watu wanalia na wewe unalia sio hahaaaa
.
Kidogo nizimie jamennn [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]