Bora useme wewe mdogo mtu
Yaani
Huyo ndo anataka kuniwowa
Hahaha hahaha hahahaHapana nimenyoosha mikono na miguu Wifi huyu hapana kwa kweli!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuliacha mda sana, baada ya yeye kubadili mrengo wa kisiasa.[emoji39] Hataki tusali kwa kushikana mikono tena[emoji39][emoji125][emoji125][emoji125]Hahaha hahaha hahaha
Siku hizi hamsali pamoja?!
Wala siamini kabisaaa jamaniiTuliacha mda sana, baada ya yeye kubadili mrengo wa kisiasa.[emoji39] Hataki tusali kwa kushikana mikono tena[emoji39][emoji125][emoji125][emoji125]
Usikatae Vero, unakataa vipi sasa.. huyu mtoto basi tu, na uzee wangu lakini naitwa baby dah!!!
..ni mwingi wa habari sio! Nishauri mdogo wangu, nishauri tu coz sitaki kiharusi..[emoji39]Hapana nimenyoosha mikono na miguu Wifi huyu hapana kwa kweli!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Umbea sunna bina. Ndo maana wambea hatuapatagi magonjwa ya presha tehUmbea hauna mtaji jamani[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]!!!
Nakula ujana kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa!!mjini kila mtu babyUsikatae Vero, unakataa vipi sasa.. huyu mtoto basi tu, na uzee wangu lakini naitwa baby dah!!!
Nasubiria ushauri maana hata mie sielewi..ni mwingi wa habari sio! Nishauri mdogo wangu, nishauri tu coz sitaki kiharusi..[emoji39]
Usinizeeshe na maradhi my one n only!! Nakataa kiharusi ujuwe!!Wala siamini kabisaaa jamanii
Unanijua vizuri kabisaaa dadangu.... Sina mchepuko kabisaaa
Umeona eehhh!!!ila usizidi kipimoUmbea sunna bina. Ndo maana wambea hatuapatagi magonjwa ya presha teh
Mdogo wangu hajawahi kuniangusha huyu...Nasubiria ushauri maana hata mie sielewi
My one n only, mie mzima kabisaaa akiUsinizeeshe na maradhi my one n only!! Nakataa kiharusi ujuwe!!
Unanijua vizuri kabisaaa dadangu.... Sina mchepuko kabisaaa
Sawa my EliMdogo wangu hajawahi kuniangusha huyu...
Wa kwanza dada