To rescue Kenya's from Hunger, Tanzania to build giant grain silos in Mombasa

I can as well say that in order for Tanzanian government to rescue its poor farmers from having their produce rot away, they've opted to secure market in the moneyed neighborhood!.. ✊
Hamuishiwi vituko nyie watu, tunaweza uza hata sudan kusini
 
Hujui; "Cha mlevi huliwa na mgema"----- "Cha mwenye njaa huliwa na mkulima"??!🀣
 
Uzuri hapo hatuuzi raw cereals bali finished products
 
On all countries we set warehouses are sharing 1 thing in common and that's failed state status
 
Uzuri hapo hatuuzi raw cereals bali finished products
Hizo warehouses ni za kustore gunia za mahindi ambazo ni raw cereals. Sisi hatuwezi kununua unga ulioshagwa kutoka kwenu. Wacha kuota wewe.
 
Hizo warehouses ni za kustore gunia za mahindi ambazo ni raw cereals. Sisi hatuwezi kununua unga ulioshagwa kutoka kwenu. Wacha kuota wewe.
Hahahaha kwa sheria ipi?

Are these look like raw cereals?

Anzeni kujiandaa kisaikolojia

CPB haiuzi raw cereals hata siku 1

Viwanda vyake hivi hapa

DRC & Sudan warehouses

Hizo warehouses ni za kustore gunia za mahindi ambazo ni raw cereals. Sisi hatuwezi kununua unga ulioshagwa kutoka kwenu. Wacha kuota wewe.
Kiwanda chao cha Mchele, soko ni Kenya

No one can understand that. Coz 3mio kenyans are heavily stricken by hunger.
 
No one can understand that. Coz 3mio kenyans are heavily stricken by hunger.
As she brags! I can't understand her! Yaani..au hiyo bread basket in rift valley ni ya "Muthungu" tayari .. πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€­πŸ€­πŸ€­πŸ€·β€β™‚οΈπŸ€·β€β™‚οΈπŸ€·β€β™‚οΈ
 
No one can understand that. Coz 3mio kenyans are heavily stricken by hunger.
It's either one understands or ignores, we don't give a damn about it. Using your own wisdom 3m out of?..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…