Ndoto njema. Ila final submission pande zote wakimaliza... Naona kama hukumu inaweza kuwa chungu upande wa mshitakiwa.Mimi nimeota ndoto Lissu ametoka na ana watu wengi wamemsindikiza mpaka nyumbani kwake. Na Mimi nikafika mpaka kwake nikakuta watu wengi nje ya nyumba . Nikajumuika na watu hao na baadae Lissu akatoka nje kuja kutusalimia wote , tukapanga mstari kumsalimia.
Ndoto njema. Ila final submission pande zote wakimaliza... Naona kama hukumu inaweza kuwaa chungu upande wa mshitakiwa.Mimi nimeota ndoto Lissu ametoka na ana watu wengi wamemsindikiza mpaka nyumbani kwake. Na Mimi nikafika mpaka kwake nikakuta watu wengi nje ya nyumba . Nikajumuika na watu hao na baadae Lissu akatoka nje kuja kutusalimia wote , tukapanga mstari kumsalimia.
Mbinyo kimataifa ni mkali. Hata wakipitisha hukumu chungu baadae watamuachia tu. Wanacho weza kukwepa ni swala la yeye kudai fidia so wanapiga rungu ili aonekane ameeahi kuwa na hatia ya kosa kubwa. (KUHARIBIANA KISIASA)Naandika nafuta, nahisi yajayo yanasikitisha, hawana aibu,
Atahukumiwa kufungwa Maisha jela.Ninaamini humu ndani wapo wanao ona yasiyo onekana na wanajua HUKUMU itakuwaje.
Binafsi naona kama kesi hii haita malizwa kabla ya neno la mwisho la jaji kwenye hukumu, basi haya yanaweza kujiri.
1. Atakutwa na hatia na Atahukumiwa. ☹️✍️Kwa malengo baadae Nyota inayo ng'aa(kwa mujibu wa walio mpa uchifu) afanye kupitisha msamaha uchwara ili kujisafisha kimataifa na kuepuka MBINYO kimataifa.
Kama kesi itamalizwa kabla ya final submission basi litakuwa jambo jema. Ila je watataka MWAMBA adai fidia?( I highly doubt)
Wazee wa ZA ndaaani leteni mliyo nayo juu ya kitakacho jiri siku chache mapema wiki ijayo.