Consigliere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 12,037
- 24,637
Yaani imebidi niahirishe game maana umeme Tanesco wamefanya yao na lodge generator hamnaHatari sana
Na Tanesco kila mara wanachokonoa basi unatoka mijasho kama umekimbizwa na vibaka
mkuu mbna kama umeenda kunesa mapema sana, hivi ile philosophy ya kazi tu itafanikiwa au na hii ni moja ya sehemu ya kazi yako?Yaani imebidi niahirishe game maana umeme Tanesco wamefanya yao na lodge generator hamna
Mkuu kuna likizo,off na wengine huwa wanafanya kazi kwa shift,tafadhali zingatie hilo.mkuu mbna kama umeenda kunesa mapema sana, hivi ile philosophy ya kazi tu itafanikiwa au na hii ni moja ya sehemu ya kazi yako?