Sasa wakipostpone ndo hilo deni litajilipa? Walioamua hivo watakuwa ni wafuasi wa chadema ili wananchi waichukie serikali yao tu. Imagine, mzazi wa ambaye ni mwanchi wa Loliondo, pia mwanye mwingine ni mmoja wa wale zero laki mbili, tena mwanaye anayesoma UDSM hajamaliza deni akirudishwa nyumbani, atajisikiaje? CCM kuweni makni chadema imeshawateka watu wenu mliowaweka vyuoni.Kunataarifa imetoka jana kwamba, ifikapo ijumaa ya tar 12 april wote ambao watakuwa hawajalipa au kukamilisha deni lao la ada basi wanashauriwa kupostpone mwaka wa masomo..hii ni taarifa rasmi.
Sasa wakipostpone ndo hilo deni litajilipa? Walioamua hivo watakuwa ni wafuasi wa chadema ili wananchi waichukie serikali yao tu. Imagine, mzazi wa ambaye ni mwanchi wa Loliondo, pia mwanye mwingine ni mmoja wa wale zero laki mbili, tena mwanaye anayesoma UDSM hajamaliza deni akirudishwa nyumbani, atajisikiaje? CCM kuweni makni chadema imeshawateka watu wenu mliowaweka vyuoni.
hii ni hatar, sasa wameshindwa kulipa ada wadaenda wap,,jaman ccm tuoneen huruma,
kapige mswaki kwanza wewe shetaniwewe hujalipa ada mpaaka sasa unataka nani akulipie. nafikiri ni wazo zuri sana kama litatekelezwa kama lilivyo pangwa