magalala
New Member
- Mar 2, 2018
- 2
- 2
Heshima kwenu great thinkers
Bila kupoteza muda let me go straight to the point.
I've been looking for a beautiful girl ambae tunaeza kuwa na serious relationship and maybe later tuwe wanandoa, ila tatizo ni kwamba most of the girls nikianzisha nao mahusiano kwa muda tu nakuja kugundua kwamba hatuendani mwisho wa siku tunaachana. Hii imetokea mara zaidi ya tano kwa girls ambao nilikua naona kabisa kwamba this is it.
So, nimekuja humu jf nikitegemea kwa kuweka vigezo vyangu wazi basi itakua rahisi kumpata tunaendana.
ABOUT ME;
Ni kijana wa miaka 27, degree holder, sijaajiriwa ila nina mishe zangu zinazoniingizia kipato cha kutosha kumhudumia msichana. Ni mweupe, 6 ft tall, muslim, na naishi Dar.
Nahitaji msichana awe amefika college au university (anaeza kuwa anasoma bado au kamaliza).
Awe anaishi au anasoma dar (siamini katika long distance relationship)
Awe mweupe wa asili au black beauty (asiyejichubua) na muislam.
Asiwe bonge (awe na mwili wa kawaida au mwembamba sio mbaya)
Awe na flat tummy (sipendelei tumbo).
Awe na tako flan sio lazima liwe kubwa sana.
Asiwe mfupi chini ya 5.5ft
Sura ni muhimu, isiwe upande wa baba sana.
Awe anaamini mungu (sio lazima awe mfia dini sana).
She must be funny kidogo.
Asiwe na wivu kupitiliza.
Awe mchangamfu mbele za watu (awe confident).
Mengine tutaongea na kuyapanga kwa pamoja.
Nawakaribisha sana Pm beautiful girls wa humu jukwaani.
NOTE: This is very serious thread, so kama unaona haikuhusu pita kimya tu.