SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,109
- 6,323
Eh usha mwonaIla naskia ephen_ ni pisi yenye maadili sana. π€£ so ajiandae kuangukia pua
Hapana naskiaga tu, vipi kwan hayupo ivyoo?π€£Eh usha mwona
Tupambane sema ulitisha sanaπππvita ulipigana Imani umeilinda sijui kuhus mwendoNaam nyungu sio vipaumbele vyetuπ
Sijaongelea "i'd" yoyote. Itazame barua iliyopo kwenye hiyo post, juu inakwenda kwa nani, chini inatoka kwa nani?Kwamba shekhe ni yule yule, ila kanzu tofautiπ.
Bibi hizo I'd tuna zijua bhana, I'd tofauti hizo.
mwendo una endelea Kaka, na amani IPO kwa ukubwa.Tupambane sema ulitisha sanaπππvita ulipigana Imani umeilinda sijui kuhus mwendo
Madogo wamekuwa wapumbavu sanaMadogo ombeni mfunguliwe PM ili mpunguze kujichoresha majukwaani.
Mh hapa nifate maneno au vitendo vyako Mzeeππ€Jirani....
Yule kiwete yupo njema kwa mikato zaidi ya Mwa J...π
Maana alimzidi mwendo...π
Fuata nilicho kuambia leo wakati tunakula cha jioni..βΉMh hapa nifate maneno au vitendo vyako Mzeeππ€
Kuwa nimwonyeshe mother vidonge vya mwa j auπ€πFuata nilicho kuambia leo wakati tunakula cha jioni..βΉ
Ebu kwanza rudisha sim ya mama yako, usije muua kwa presha...πKuwa nimwonyeshe mother vidonge vya mwa j auπ€π
Cc: kataa ndoa groupMy Dearest Ephen,
As the sun sets on another day, my heart is filled with anticipation and excitement at the thought of seeing you. With each step I take towards you, my love for you grows stronger, like a flame that cannot be extinguished
With every beat of my heart, I yearn to be by your side, to hold you close and to shower you with the love and affection you deserve. Your presence is like a beacon of light in my life, guiding me through the darkness and filling my world with warmth and joy.
As I pen these words, I can't help but smile at the thought of the moments we'll share when we're finally reunited. Whether it's a gentle embrace, a tender kiss, or simply holding hands as we stroll through the streets, every moment spent with you is a gift, and I cherish each and every on
Ephen, you mean the world to me, and I can't wait to wrap you in my arms and show you just how much you are loved. Until then, know that you are always in my thoughts and in my heart, and that I eagerly await the moment when I can hold you close once more
With all my love
Ephen
Madogo hawawezi kujishikilia kabisa, wanajiabisha daily. Mfano check huyu aliyefungua Uzi, hata like hajapewa na aliyemlenga.Madogo wamekuwa wapumbavu sana
Tunaanza sasa kuona madhara ya watoto waliolelewa na single mazas
Wamekuwa na u-girlish sana
Nimenotice hiyo kituMadogo hawawezi kujishikilia kabisa, wanajiabisha daily. Mfano check huyu aliyefungua Uzi, hata like hajapewa na aliyemlenga.
hata mimi nimeliona hilo, amejisahauTitle: Mwandikiwa ni Ephen.
End Signature: Mwandishi ni Ephen.
-Kaveli-
Ni kama wewe ulivyorahisishiwa mawasiliano..!! barua ilikuwa inachukua wiki kufika unakotaka kupeleka ujumbe fulani kwa maandishi. Lakini leo hii una simu, wala hutmbei kwa miguu kwenda umbali mrefu etc. hivyo ujumbe wako unafika wakati huo huo..!!Chatgpt hiyo
imerahisisha hadi utongozaji
HayaaHapana naskiaga tu, vipi kwan hayupo ivyoo?π€£