mshamba_hachekwi JF-Expert Member Joined Mar 3, 2023 Posts 20,704 Reaction score 66,337 Nov 27, 2024 #261 ERoni said: Watu huja na kupotea kama umande, alichukua attention ya wanaume wengi sana humu. Click to expand... hadi nyie wajomba zake aliwavunjia heshima
ERoni said: Watu huja na kupotea kama umande, alichukua attention ya wanaume wengi sana humu. Click to expand... hadi nyie wajomba zake aliwavunjia heshima
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 48,052 Reaction score 104,677 Nov 27, 2024 #262 mshamba_hachekwi said: hadi nyie wajomba zake aliwavunjia heshima Click to expand... Alituvunjiaje heshima dogo!
mshamba_hachekwi said: hadi nyie wajomba zake aliwavunjia heshima Click to expand... Alituvunjiaje heshima dogo!
mshamba_hachekwi JF-Expert Member Joined Mar 3, 2023 Posts 20,704 Reaction score 66,337 Nov 27, 2024 #263 ERoni said: Alituvunjiaje heshima dogo! Click to expand... mpaka mkamtamani maana yake aliwavunjia heshima shikamoo alikuwa anawapa?
ERoni said: Alituvunjiaje heshima dogo! Click to expand... mpaka mkamtamani maana yake aliwavunjia heshima shikamoo alikuwa anawapa?
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 48,052 Reaction score 104,677 Nov 27, 2024 #264 mshamba_hachekwi said: mpaka mkamtamani maana yake aliwavunjia heshima shikamoo alikuwa anawapa? Click to expand... Aaaah dogo 🤣🤣 Mimi sikumtamani na heshima ilikuwa pale pale. Sina tabia ya kupenda watoto wadogo!
mshamba_hachekwi said: mpaka mkamtamani maana yake aliwavunjia heshima shikamoo alikuwa anawapa? Click to expand... Aaaah dogo 🤣🤣 Mimi sikumtamani na heshima ilikuwa pale pale. Sina tabia ya kupenda watoto wadogo!