To you Ephen

Haya mafala ndio yanajaz DM za wadada IG kule..

Mwaka jana niliingia ktk Dm ya Manzi wangu aisee kuna Dm's kama 5000 hivi.. majings yanasimp kinoma. Wanawapa wanawake vichwa vya kuvimba sana.
 
Bora hata huko IG mtu anazama DM baada ya kuona picha za manzi husika.

Ila njoo huku JF, madogo wanakula sana mayai ya kizungu. Muda wote nyege zipo machoni, wakiambiwa hata neno "Asante" wanadindisha.
 
Kawaida mzee manake ata wewe ulishakula mishangazi sana ndio maana hudindi kirahisi😂 apostle
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…