AiseeeHii ni habari njema kwangu
Watoto ni baraka
Na baraka hizi sitaki zinipite!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwani uongo jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We mtoto umetumwa[emoji134][emoji134][emoji134]
Jamani jamaniiHebu huko[emoji57][emoji57]
Aibu naona mimiAmeeeen bebee[emoji7]
Kumbe vinachekesha aki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeshiba asante auntieNitakupa kijoti totoo[emoji8]
I love this song and i love you[emoji7]
HahahahaAisee, huyu jamaa ana bahati. Huenda hajui ana bahati, wengine tulipigwa vikumbo, jamaa ana bahati ya mtende [emoji39]
Akuuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utakinywa tu hata baadae.
Meshiba mieeeeUnajifanya kudengua eeeh!!
Labda sabosaboMbona sijakiona sasa, nani kanywa?
Pole mno anko. Naelewa sana maumivu unayopitia!Huu uzi umegeuka mwiba kwangu
nilikua nishaacha pombe ila kwa hali hii naona chupa itakuwa mwaminifu kwangu kwa zaidiPole mno anko. Naelewa sana maumivu unayopitia!