Usinywe pombe anko!nilikua nishaacha pombe ila kwa hali hii naona chupa itakuwa mwaminifu kwangu kwa zaidi
tatizo kila nikiangalia nilipokosea sipaoniUsinywe pombe anko!
Sijui auntie kapatwa na nini aki, ni kipindi cha mpito tuu! Yataisha
Penzi bado changa hili,ni mapema sana kuanza kugombana na ndugu![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu hukoo. Unataka anko akufwee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona umekuwa mdaka chozi.
@sabosabo u khali ganiiiiCamooon huby!!
Come home, am waiting for you[emoji3590]
Pole sana anko...tatizo kila nikiangalia nilipokosea sipaoni
nilipoteleza sipajui
ila yamekuwa maumivu