[emoji850][emoji850][emoji850][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Hapa sina ndugu walah!
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji850][emoji850][emoji850]
Kwanza usiku sasa hii. Nazima macho
Sent using Jamii Forums mobile app
Bebee mimi nawaombea memaa![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bebee wewe sio mtu mzuri kabisa, kwahiyo unaombea nigombane eeeh?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa kufukua makaburi sasa watu wameshaachana woiiiiMnajijua vizuuuuri, kwanza mlianza kwa kula vitenge vyangu.
Namtafuta mwanaume kama wewe jamaniBebee mimi nawaombea memaa!
Unajua binadamu sisi,ugomvi haukwepeki!
Ngoja tusome huu upepoo hapa unakwendaje!Namtafuta mwanaume kama wewe jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja tusome huu upepoo hapa unakwendaje!
Hakuna linaloshindikana,
Usijalii kingozii kipoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unataka nimpindue auntie yangu mana we ni luba khaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usijalii kingozii kipoo
Hahaha
Kabisa Mkuu!