To you my love

To you my love

Snipes

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2013
Posts
9,165
Reaction score
16,791
Sijui niseme nini..Darling unanipa furaha ambayo sidhani kama kuna binadamu mwingine anapata katika hii dunia wewe unajua hili ila acha leo niitangazie dunia, umekuwa mhimili wangu wangu mkuu katika maisha yangu kwa sasa na badae Inshallah. Kupendwa na wewe haikuwa jambo rahisi ingawa tulikutana kiutani tukaishi kwa utani kwa muda fulani hatimae Allah akabless.

Wewe umekuwa sababu ya mimi kuamini tena katika mapenzi umenifungulia dunia yako sasa nimekuwa nnachotaka YES beb nimekuwa nnachotaka sasa. Huna mapenzi ya kupima mapenzi ya upande mmoja unanipa muda wako, hukawii kujishusha kama nikipanda (babe usiwaze ujinga hapa 😀😀), unanijali na kunithamini nini tena nataka mimi?? au nikuletee mwenzio..usinipe jibu.

Honey you are in my heart each and everyday i can't stop thinking about you..if you escape me directly am going to die wallah..swetie am nothing without you..trust me i live only for your happiness.

No one can ever put us out of our ways..i cannot imagine life without you Madame S nakupenda
 
Hivi hizi thread mnazoanzishiana huwa ni ukweli? Maana Madame S alikuwa nae anamuanzishia mdogo wangu yule hivi hivi. Na siku hizi sioni tena akimuanzishia, ghafla naona archeduke sijui, au ndio mdogo wangu alibadili jina?
 
Hivi hizi thread mnazoanzishiana huwa ni ukweli? Maana Madame S alikuwa nae anamuanzishia mdogo wangu yule hivi hivi. Na siku hizi sioni tena akimuanzishia, ghafla naona archeduke sijui, au ndio mdogo wangu alibadili jina?
naomba tu nijibu kwa hiki nilichojibu sababu sijawahi kukujibu
 
Back
Top Bottom