Nimeghairi.Hujaenda kufundishwa... haupo intern... chapa kazi
Anakuzoesha nan mwengine zaidi yangu??? Michezo n mingi tunafanya upi unausemea mmoja wapo babebreak hazishiki beb, ntakukumbusha ila babe hii michezo sio kabisa hii ntazoea unajua
Sijawahi mpenzi na gubu hili nani aniandikieAahh shostiii ww hujawahii??na ulivyo mtaam hivyo,.em usintanie[emoji3]
Kisirisiri lakiniKumbe hua mnawanadisha dada zenu masokoni
Basi namm ngoja nimuombe @Archiduke anifundeMadame S nifundishie huyu mtoto nishai zimtoke.
Yes..sio archduke ninae mjuaKwamba umemfananisha na nani jamani hahahhahahaha!!!
Muache so vizurKisirisiri lakini
Nitajinadi mwenyewe.Ukiachika unakuwa second hand familia tutapata shida ya kukunadi sokoni.
Mfyuuuuu!Mkeo
Unahitaji maombi sister ya kimwili lakini not ya kirohoNimeghairi.
Nipo nae hapa ananikata kucha..Ndio.
Nawe umempeleka wapi binti yangu?
Wooii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]twende tukaoge na maji ya pwani
Ndio nami namshangaa hapa.Kumbe hua mnawanadisha dada zenu masokoni