To you my love

congratulations to you guys... I do appreciate ila be kaeafooo we jf pipo bana.....



cc Smart911
My dear mahondaw, kabla hujanambia tuee makini zaman nishajua na naona sababu mengi yametokea humu meyaona mengine yalinikumba lakini mwisho wa siku maisha yanaendelea, mimi binafsi sijali chochote, sijali mtu yoyote atakachoongea, nampenda nilekua naye tena nampongeza haswa had leo tumefika hapa haikua kazi rahisi, na hakukata tamaa, yote n maisha najifunza bado tunajifunza kwa pamoja, ninachozingatia unapoanguka kokote kule nyanyuka jipanguse mavumbi songa mbele ndio hikimefanya, inshallah Allah atupe kila lenye heri.
 
Tangu nikusubiri ili nianze kazi yangu, umekuja umechelewa sana.

Tusikwamishane bana....
Alichonifanyia sasa, nilitoka huku mda nikawa nafanya nambo yangu nje ya jf nikasema mda umeenda heb nishike sim kha hata kunambia mefanya hiki na hiki hajasema mekuja kuta notification halaf sikusoma thread yenyewe nikajibu nikatoka mara naingia nakuta tena nikasema no ngoja nisome ndio najua bae leo kaamua kunifungukia jaman kashindwa kujizuia mwanaume wangu ha ha ha he is really in love and i am in love
 
Kwani mnakutwaga na nini jamani!!!!
Maana wengine wazushi tu, kama huyo shosti yako kujifanya tunamtongozea bwanake bila hata haya!! Nilimind kweli aiseeee!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…