To you my love

Ni mke huyu au mpnz tuu. Kama ni mke you are safe kama mpnz there two things involved[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenza, nikishiba mie, tumeshiba wote.
Hv mwenza, unaonaje tutafute mume wa pamoja tubaki wenza?
Nimekuzoea.
Hv huyu Da'Vinci anatufaa kweli!!!
Naona kama mchawi vile na hizi mada zake.
Maana tuna'oa' mume kutokana na mada zake
Mwanza mwanzaa

Da vinci njoo huku naona umecheza Tatu mzuka umejishindia mamilion

Ah ah ah ah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenza, nikishiba mie, tumeshiba wote.
Hv mwenza, unaonaje tutafute mume wa pamoja tubaki wenza?
Nimekuzoea.
Hv huyu Da'Vinci anatufaa kweli!!!
Naona kama mchawi vile na hizi mada zake.
Maana tuna'oa' mume kutokana na mada zake
Hapan huyo hatufai mwenza, hata mimi nimekuzoea ndio maana upweke wa kuniacha kwa MO11 peke yangu sitaki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…