Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Muwe na usiku mwanana na usingizi mororwo ukiambatana na njozi tam tam dadaAya kaka angu ngoja sie tutoke huku sasa
Mbwembwe tuuu izo za watoto wa kike bhanaHapana ushanitisha eti waniogopa..
Kabisa.Hatokaa apate ten bahati kama aloipata kwetu.
Usimwite uyo mtu achana nae kwa sasaAaaaahaaa ila wewe jamaa. Bbade yupo wap
Bahati ya mwenzio.......Mwanza mwanzaa
Da vinci njoo huku naona umecheza Tatu mzuka umejishindia mamilion
Ah ah ah ah
Sent using Jamii Forums mobile app
Yawezekana kiongozi.. sijui waogopa nni wakat sina Mkia wa punda
Wee mwongoBahati ya mwenzio.......
Aitheeeeee iv izi mbwe mbwe ni mpaka bed au maneno tuuuKabisa.
Hatopata kamwe
Tuna mapenzi ya pesa.
Tuna thamani kuanzia karatasini mpaka shilingi
Hapana, we bado mtoto.Haya bwana mwanipiga vidongo..
Vuta subra ndugu yangu ayo mambo madogoYawezekana kiongozi.. sijui waogopa nni wakat sina Mkia wa punda
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwanza mwanzaa
Da vinci njoo huku naona umecheza Tatu mzuka umejishindia mamilion
Ah ah ah ah
Sent using Jamii Forums mobile app
Utoto wangu upi?Hapana, we bado mtoto.
Hapo ndio tunapo kosana hayo mambo ya mdogo na mkubwa hapanaHapana, we bado mtoto.
Walah tenaWee mwongo
Daaahh wananipiga madongo tuVuta subra ndugu yangu ayo mambo madogo
Mtt wa kike akikupenda kakupenda haswaaaaah
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unamchimba sana mwenza wangu?