To you my love

Hahaa ilikua sukuma wiki siku ziende. Ila shuni na lee empire ilikua kiboko
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Humu yapo ya ukweli na ya kusukuma wiki, sasa kwakuwa zote zinafanana unashindwa kujua ya kweli na ya uongo. Ya Shunie pia nilijua ni ya ukweli. Siku ananiambia ni ya jf tu nikabaki nimeduwaa.
 
Wengi sio wema. Sitaki kuaibishwa humu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kumbe nanyi mnatuogopa kama tunavyowaogopa!!! Kwahiyo tunaogopana!!!

Ila usijali, humu wema wapo sana tu, ukibahatisha hutojutia. Next month ni harusi ya my good friend mchumba wake wamekutana humu humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…